We have reached more than 10000+ Youth, it is a time for uniting and come together to overcome several challenges including Unemployment, If you interested ?

Maandalizi ya kampeni ya Vijana Na Mwalimu Nyerere

Sisi Tanzania Mkoa wa Dodoma wafanya kikao kufuatia maandalizi ya kampeni ya Vijana Na Mwalimu Nyerere, kuelekea maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa Mwl. J.K Nyerere🇹🇿
 

Oct 12, 2021